jinsi ya kuyapata matokeo ya kidato cha pili 2011

jinsi ya kuyapata matokeo ya kidato cha pili 2011

dottoz

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2012
Posts
1,510
Reaction score
870
Wadau wenzangu naombeni mnisaidie jinsi ya kuyapata matokeo ya kidato cha pili,au kama kuna website ya kuweza kuyapata nipeni
asanteni.
 
Hakuna tovuti yenye matokeo, nenda shuleni ulipofanyia mtihani
 
Tanzania ni nchi ya kusadikika, afadhali ukaishi SUDANI KUSINI kuliko nchi ya mfalme jUhA.
 
Back
Top Bottom