Jinsi ya kuzuia kansa...

Jinsi ya kuzuia kansa...

ZionTZ

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2009
Posts
1,283
Reaction score
541
Wataalam wanasema moja ya vitu vinavoweza kuzuia CANCER kwa binadamu ni utumiaji kwa wingi wa vyakula/matunda/mboga mboga ambazo zina wingi wa ANTIOXIDANT. sasa sija haja ya kuichambua hiyo antioxidant kwa undani coz si mtaalam sana ila naomba niende moja kwa moja kwenye mifano kumi bora ya matunda / mboga za majani zenye hiyo kitu kwa wingi. ipo in ascending order

Fruits 1. Prunes 2. Raisins 3. Blueberries 4. Blackberries 5. Strawberries 6. Raspberries 7. Plums 8. Oranges 9. Red grapes 10. Cherries
hapa tunaweza pata picha kidogo: http://www.fatty-liver.com/fruits-for-fatty-liver/

Vegetables 1. Kale 2. Spinach 3. Brussels sprouts 4. Alfalfa sprouts 5. Broccoli flowers 6. Beets 7. Red bell peppers 8. Onions 9. Corn 10. Eggplant

msaada ninaouomba humu ndani, ni tafsiri rahisi ya hasa hizi mboga. nikisoma hapo naelewa kizungu lakini kiswahili chake napata tabu, tafadhali wale wataalam mnaombwa mtusaidie kutupa mwangaza wa hii misamiati kwa kiswahili. nimefanikiwa kupata picha za hayo matunda kwenye hiyo link.

Najua humu ndo home kwa watu wenye mavipaji ya kila aina...tunangojea michango yenu wakuu...
 
Back
Top Bottom