Jinsi ya kuzuia maambukizi ya vvu kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto

wataalamu wa haya mambo wamejaa kwenye NGOs zinazofadhiliwa na watu wa Marekani na sielewi ni kwa nini hawataki kuja kukujibu, au wanataka wakufuate physically ili walambe perdiem? maana wanapenda perdiem na kufoji risiti za mahotelini ni balaa utashangaa mtu ana masters na labda ndo mtaalam kiongozi lakini kwa kufoji hotel accommodation recepit haawajambo
 
Nenda kwa madaktari wakupe ushauri jamani. Ukishindwa ni pm nikupe namba ya daktari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…