Jinsi ya kuzuia raba nyeusi kupauka zikiwa bado nzima

Jinsi ya kuzuia raba nyeusi kupauka zikiwa bado nzima

Lububi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,158
Reaction score
3,808
Unanunua raba nyeusi ya turubai ambayo hupati kirahisi aina hiyo tena. inapauka ikiwa mpya. unairudishiaje weusi tii wake?
 
Tafuta Rit Dye (all purpose) utaweza kuvifanya viatu vyako kuwa vipya tena.
 
Inapatikana kwenye maduka ya aina gani mkuu?
 
Back
Top Bottom