Jinsi ya Kuzuia Usiadiwe Kwenye Makundi ya WhatsApp Bila Ruhusa Yako

Jinsi ya Kuzuia Usiadiwe Kwenye Makundi ya WhatsApp Bila Ruhusa Yako

Mr_mkisi

Member
Joined
Sep 24, 2024
Posts
15
Reaction score
47
Bila shaka ilisha wahi kukupata hii...

Umeamka zako Asubuhi unajikuta umewekwa kwenye group na mtu pengine hata humjui.

Mara group la Mchango mtoto kameza shoka hahahah (jokes) Nk.

Kuna muda inakera na kuudhi ... Basi kuanzia leo ukisoma makala hii fupi litakuwa limeisha...

Mimi Naitwa Mkisi ... Mtaalamu wa maswala ya Teknolojia pia tunauza Simu & Laptop Kariakoo (Aggrey) Jumla na Reja reja.

Sasa Fuata haya 👇 ili usiadiwe tena kwenye magroup bila Ruhusa yako.

1. Fungua WhatsApp:
2. Nenda kwenye Mipangilio/ setting
Kwa Android: Bonyeza alama ya vidoti vitatu juu kulia kisha chagua Settings.
Kwa iPhone: Bonyeza Settings upande wa chini kulia.

3. Fungua Privacy:
Ndani ya sehemu ya mipangilio, tafuta na bonyeza Privacy.

4. Chagua Groups:
Katika sehemu ya faragha (Privacy), utaona chaguo la Groups. Bonyeza hapo.

5. Weka Kizuizi:
Utapewa machaguo haya:

-Everyone (Kila mtu anaweza kukuongeza).

-My Contacts (Watu walioko kwenye orodha yako ya mawasiliano pekee wanaweza kukuongeza).

-My Contacts Except... (Watu wa orodha yako ya mawasiliano, isipokuwa wale utakaowachagua).

-Chagua My Contacts Except... na weka tiki kwa wale usiotaka wakuongeze au chagua wote kama hutaki mtu yeyote akuongeze moja kwa moja.

NB.
Ikitokea mtu anataka kukuadd kati ya wale ambao hutaki wakuadd bhasi wewe utatumiwa kama Invitation kwahiyo unachagua mwenyewe Ujoin au Uachane nalo.

Umefurahia somo la leo, na ungependa kujifunza zaidi?

Nimetengeneza Community kwenye whatsApp huwa nafundisha maujanja mengi ya kiteknolojia kupitia Status pia naposti bidhaa kama Simu, Tablet na Laptop jumla na reja reja na kuzielezea na kutoa ushauri bure kwa wateja wetu kabla ya kuwauzia.

Cha kufanya. Save namba yangu sasa hivi +255 628210865 kisha nitumie ujumbe NIUNGE na jina lako kisha mimi nitakuunga kwenye Community.

Pia kama unahitaji ushauri wowote kuhusu Teknolojia na kuhusu Simu / Laptop basi nipigie moja kwa moja kupitia namba yangu +255 628210865 nitakusaidia bureee kabisa.

HAPPY NEW YEAR 📌​
 
Bila shaka ilisha wahi kukupata hii...

Umeamka zako Asubuhi unajikuta umewekwa kwenye group na mtu pengine hata humjui.

Mara group la Mchango mtoto kameza shoka hahahah (jokes) Nk.

Kuna muda inakera na kuudhi ... Basi kuanzia leo ukisoma makala hii fupi litakuwa limeisha...

Mimi Naitwa Mkisi ... Mtaalamu wa maswala ya Teknolojia pia tunauza Simu & Laptop Kariakoo (Aggrey) Jumla na Reja reja.

Sasa Fuata haya 👇 ili usiadiwe tena kwenye magroup bila Ruhusa yako.

1. Fungua WhatsApp:
2. Nenda kwenye Mipangilio/ setting
Kwa Android: Bonyeza alama ya vidoti vitatu juu kulia kisha chagua Settings.
Kwa iPhone: Bonyeza Settings upande wa chini kulia.

3. Fungua Privacy:
Ndani ya sehemu ya mipangilio, tafuta na bonyeza Privacy.

4. Chagua Groups:
Katika sehemu ya faragha (Privacy), utaona chaguo la Groups. Bonyeza hapo.

5. Weka Kizuizi:
Utapewa machaguo haya:

-Everyone (Kila mtu anaweza kukuongeza).

-My Contacts (Watu walioko kwenye orodha yako ya mawasiliano pekee wanaweza kukuongeza).

-My Contacts Except... (Watu wa orodha yako ya mawasiliano, isipokuwa wale utakaowachagua).

-Chagua My Contacts Except... na weka tiki kwa wale usiotaka wakuongeze au chagua wote kama hutaki mtu yeyote akuongeze moja kwa moja.

NB.
Ikitokea mtu anataka kukuadd kati ya wale ambao hutaki wakuadd bhasi wewe utatumiwa kama Invitation kwahiyo unachagua mwenyewe Ujoin au Uachane nalo.

Umefurahia somo la leo, na ungependa kujifunza zaidi ?

Nimetengeneza Community kwenye whatsApp huwa nafundisha maujanja mengi ya kiteknolojia kupitia Status pia naposti bidhaa kama Simu ,Tablet na Laptop jumla na reja reja na kuzielezea na kutoa ushauri bure kwa wateja wetu kabla ya kuwauzia .

Cha kufanya ... Save namba yangu sasa hivi +255 628210865 kisha nitumie ujumbe NIUNGE na jina lako kisha mimi nitakuunga kwenye Community.

Pia kama unahitaji ushauri wowote kuhusu Teknolojia na kuhusu Simu / Laptop basi nipigie moja kwa moja kupitia namba yangu +255 628210865 nitakusaidia bureee kabisa

HAPPY NEW YEAR 📌
Superb
FB_IMG_17355777723433098.jpg
 
Back
Top Bottom