- Je umenunua TV yako ya gharama kubwa na bado unahofia wezi wanaweza kuja kukuibia TV yako.
- Je unajua asilimia kubwa ya vitu vinavyoibiwa majumbani ni TV.
- I-SECURE wanalo jibu ni jinsi gani unaweza kulinda TV yako.Tumekuletea kifaa kipya kitakachofungwa ndani ya TV yako na kukuwezesha kujua Taarifa muhimu. Utapata taarifa kupitia androip app.
- Kumbuka hiki kifaa kinafungwa ndani ya TV hivyo Itakurahisishia kupata vitu vyako Kama kumetokea wizi nyumbani kwako na TV yako imeibiwa.
- Hiki Kifaa hakitazuia wezi Kukuibia, kitakujulisha ni wapi muelekeo wa TV yako baada ya kuibiwa. Pia kinaweza kukupigia simu yako endapo TV itakumbwa na mtikisiko
- Bei ya kufungiwa kifaa hiki ni 180,000. Pia unatakiwa kusajili laini mpya ya simu kwa ajili ya kuwekea kwenye kifaa cha GPS
Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.