Jinsi ya mtoto

shamali

Senior Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
186
Reaction score
56
Habari zenu wandugu.
Naomba mwenye kuelewa vizuri aniambie lini nikisex nitapata baby boy. Mzunguko wangu ni siku 26 na wakat mwingine 27.
 
Mkuu kuna thread hapo juu inaelezea mizunguko yote namna ya kufanya ili
uwezekupata utakacho

Lakini Mkuu jua wazi mtoto ni mtoto
zaidi hutoka kwa Mungu amini hicho.
 
Ili kuongeza probability yakupata mtoto wa kiume unatakiwa usex siku ambayo ovulation inatokea,sasa utajuaje siku ambayo ovulation inatokea??
Fanya hivi;
-Kwakuwa mzunguko wako ni wa siku 26/27,siku ambayo ovulation inatokea itakua ni siku ya 12/13,kwasababu 26-14=12/27-14=13
ZINGATIA
-Usisex siku 4-5 kabla ya hiyo siku ya 12/13
 

Umenipa mwanga Godwinnko
Asante sana ndugu, nitazingatia
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…