jinsi ya uagizaji wa magari

wijma

Member
Joined
Jun 27, 2013
Posts
86
Reaction score
2
waungwana naombeni kujua ghalama za utoaji wa magari kwenye bandari ya daresalam.mfano noah inayouzwa $800 inagalimu shilingi ngapi mpaka niwe nayo nyumbani.natanguliza shukrani kwenu nyote
 
Ingia kwenye website ya TRA then click calculator and tools then diwnload hiyo link utaona aina zote za magari, depression kulingana na mwaka gari iliyotengeneza then tumbukiza kwenye kikotozi utapata gharama
 
asante kwa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…