INJECTION TECHNICIAN
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 356
- 794
Ikizidi max inaweza kupelekea shida gani?NI vyema kupima oil ya GARI lako kabla ya kuanza safari
Na muda mzuri wa kupima oil nI pale gari lako linapokuwa limepaki kwa muda kufikia oil yote kushuka na kupoa hasa asubuhi unapoamka kwa sababu oil na engine vyote vinakuwa vimepoa kabisa.
Saizi salama ya Oil ya gari lako unapoipima ni kwamba oil yako haifikii alama ya MAX kwenye geji na haishii kwenye alama ya MIN yaani kwa maneno rahisi isifike kwenye max na isikomee kwenye alama ya min
Swali zuri mkuuIkizidi max inaweza kupelekea shida gani?
Asante Sana mkuuSwali zuri mkuu
Ikizidi max inaweza. Kupelekea gari kutupumua vizuri na kusababisha oil kupenya na kutokea sehemu zisizohitajika kutokea mfano huweza kutokea kwenye dipstick
Ubora wa oil hutegemeaanaNitajuaje ubora wa oil iliyopo kwenye injini kama bado ipo kwenye ubora au la?
Shukran mkuu. Kipengele hiki ulisahau kuweka ndio maana nikauliza, kwasababu najua ukaguzi wa vimiminika kwenye gari hauishii kwenye kuangalia ujazo tu.Ubora wa oil hutegemeaana
.1; aina ya oil uliyotia
2;umbali ulotembelea chombo chako tangu utie oil(hamuwezi kuwa sawa katika ubadilishaji oil kati ya usafiri binafsi na usafiri wa umma kwa maana ya kwamba usafiri wa umma huzunguka kilometer nyingi kwa siku chache tofauti na chombo binafsi ambacho hutumika kwendea kazini kikisubiri jioni kurudi nyumbani)
Uborara wa oil unaweza kuangalia kwa kuchunguza viscosity kwa lugha nyepesi ule mnato wa oil unapoishika na hata rangi yake itakuonesha imetumika kiasi gani Kama ipo ndani ya engine ikiwa ya kahawia bado unaweza kutumia kiasi Ila ikiwa nyeusi NI dhahir unatakiwa ubadilishe
Safi kabisa mkuuShukran mkuu. Kipengele hiki ulisahau kuweka ndio maana nikauliza, kwasababu najua ukaguzi wa vimiminika kwenye gari hauishii kwenye kuangalia ujazo tu.
Naomba utujuze kuhusu wajerumaniKuna hawa Wajerumani gari zao hazina dip-stick.
BMW wamekua na tabia ya kutoweka dipstick kwenye magari. Kwahiyo asubuhi unawasha gari, unasubiri kama dk 5-10 hafu unapima level kwenye computer iliopo ndani.Naomba utujuze kuhusu wajerumani