Jinsi yakupata mwanamke wakizungu

mmakonde mjanja

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2016
Posts
288
Reaction score
128
Habari za mapunziko

Nilileta mada hapa ndani kuwa nahitaji mwanamke wakizungu ili nimpiku hamonizer pale kikijijini kwetu mahuta

Kweli nimefanikiwa kupa mke ingawa kuna changamo kidogo
1. Umri umenda sana tofauti ya miaka 15
2. Watoto mapacha amboa nahisi wanafaa kutumia Mimi
3. Lugha gongana natumia kamusi hadi nne kutafuta neno glad, seriousness, nevertheless

Nikalazimika kuacha kuzungumzia mapenzi nikawa mtangaza utalii wa nchi nimwendo wakutuma picha za twigs, simba, samaki yule wakilwa, mlima Kilimanjaro, hoteli kubwa za south(mtwara)
Kiufupi nimepatikana
 
Hongera kwa kumpata bibi mzee alikuwa anatafuta mtu wa kumtunza coz vile vituo vya kuwatunza wazee huko ulaya siku hizi kuna njaa kama serekali ya hawamu hii

Jiandae kusaikolojia kuwa yaya a.k.a beki tatu
 
Hapo mkuu nachoka watoto wake saizi yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…