Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo huyo Mungu unaye msemea ndio aliacha kuongea na maelfu ya waisraeli waliokuwa wanapitia mateso misri akaja kuongea na Musa muuaji aliyekimbia, aliacha kuongea na maelfu akaja kuongea na Sauli (aliyekuja kuitwa Paul) muuaji na mwenye kiburi.Ivi huu ujasiri wa kudanganya watu mnatoaga wapi, ujue kuna watu mna vipaji aisee,, Mungu ana mabilioni ya watu duniani aje kupiga stori na mla ndumu daah!!
Aliongea na manabii na watu mbalimbali Iko waz lakin sio sasa bhna,, uongo,,, huo ni uongo bhaanaHuyo huyo Mungu unaye msemea ndio aliacha kuongea na maelfu ya waisraeli waliokuwa wanapitia mateso misri akaja kuongea na Musa muuaji aliyekimbia, aliacha kuongea na maelfu akaja kuongea na Sauli (aliyekuja kuitwa Paul) muuaji na mwenye kiburi.
Sio kila mtu kapewa nafasi ya kuisikia sauti ya Mungu moja kwa moja ila wapo watakao isikia.
NB: simaanishi kuwa alichokishuhudia ni ukweli au uongo
Zamani ndo alikuwa anaongea Ila baada ya Yesu Kufa msalabani na akafunga kitabu cha biblia , means maagizo yote na taratibu zimo kwenye bible na kama Una shida omba direct , tangia hapo masuala ya ndoto aliachiwa shetani na wafuasi wake kuwasiliana Kwa njia hyo... Mtu yyte akikuambia ameoteshwaAliongea na manabii na watu mbalimbali Iko waz lakin sio sasa bhna,, uongo,,, huo ni uongo bhaana
Amina, Yesu yupo na ni halisi. Umepata Neema ya kumjua na kusikia "sauti yake laini na tulivu" endelea kumsihi kuwa E baba jifunue kwamgu kama ukivyojifunua kwa Musa ili nami kama nimepata kibali machoni pako niuome uso wako. Nashuhudia usiku huu, kupitia maombi hayo. Nilimuona na kuuoma uso wake mwenyw haki mtakatifu na mzee wa siku.Nilikuwa ni mtu wa starehe Sana miaka ya nyuma, ila mwanzoni nilikuwa si mtu wa kulewa Wala wanawake Sana, ila siku moja nilipoanza pombe nilijikuta nakuwa fundi mpaka naharibikiwa kabisa, nilikuwa siwezi kukaa siku sijala tungi.
Nilitembea Kila aina ya viwanja, nilikula ndumu nk, hapo nikawa Teja kabisa, mwanzani nilikuwa tuu na duni ya familia wanakunywa pombe lakini mimi nikawa gumzo Kila mahali.
Maisha yalipokiwa tight nilienda Kwa katunzi wakati huo lakini yeyey alikuwa anasema omba omba. Kwa kuwa mimi nilikuwa sijaokoka sikuelewa lolote, hivyo nikaondoka Kwa hasira lengo langu la kwenda nilitaka nimfahamu kama Mungu yupo au ni fix tuu.
Nikasema kuwa iwapo sitaona changes zote ntaachana na imani ya Mungu na ntasema hakuna Mungu ni fix tuu. Basi baada ya hapo nikasikia Kuna chimbo la nabii mja mwanamke, nikatimba foleni kubwa lakini hakuna lolote, lakini wakati nipo hapo nikasikia wadada wanasema yupo mtumishi mmja mahali rafiki zetu walifanikiwa mambo Yao yote lakini wameacha mambo ya imani.fasta nikamwomba codes wakanipa nikatimba kesho yake nikakuta watu wapo kwenye maombi, wakasema omba, nikawa nazuga zuga Kiana maombi ya kuigiza ghafla nilisikia nguvu za ajabu nikinijia hakunigusa mtu, basi hapo nikaamini rasmi nikaongozwa Sala ya Toba.
Nikaanza kuhudhuria vipindi vyote, kiu ya kula tungi ilikata pale pale,nikawa sitamani tena pombe, basi ikafika kipindi nikabatizwa maji mengi, nikarudi home siku hiyo nikalala Huwa naamka saa kumi na moja alfajiri.
Mtaa wetu ni eneo lenye pilika nyingi sana utakuwa macho tuu,basi hyo siku nilifanikiawa kuamka saa kumi na moja alfajiri nikawa nimejiegesha kitandani nilisikia kama masikio yangu yanafunguka au kuzibuka, ni ajabu Sana niliogopa nikajua kuwa ndio nakufa nikapiga kelele Bwana Yesu unirehemuuu?
Hapo hapo nilisikia sauti yenye Muunganiko na masikio yangu ikisema huku nikitajwa Kwa majina nimekusamehe John, hyo sauti ni nzuri Sana, utatamani uwepo wake uendelee kuwepo.Kweli mimi ni mtu niliyekuwa mbishi hapo mwanzo, lakini Sasa najua ya kuwa Mungu yupo na ni halisi
Hahaaaaaa, jamaa una makasiriko kweli. Huyo Yesu wako ni mfu lakini wetu sisi anasema hadi sasa na anajifunua kwa watu wake. Wewe kama Mkristo na unaishi maisha ya utaua. Nakushuhudia leo mkuu ukimuomba ajifunue kwako anajifunua na kusema nawe. Nina ushuhuda na kushuhudia usiku huu kuwa anasema na anajifunua kwa wajoli wake.Zamani ndo alikuwa anaongea Ila baada ya Yesu Kufa msalabani na akafunga kitabu cha biblia , means maagizo yote na taratibu zimo kwenye bible na kama Una shida omba direct , tangia hapo masuala ya ndoto aliachiwa shetani na wafuasi wake kuwasiliana Kwa njia hyo... Mtu yyte akikuambia ameoteshwa
mara adai ameenda mbinguni jua ni uongo mtupu
Unajidanganya....!! Huwa unaonge na mapepo instead..Hahaaaaaa, jamaa una makasiriko kweli. Huyo Yesu wako ni mfu lakini wetu sisi anasema hadi sasa na anajifunua kwa watu wake. Wewe kama Mkristo na unaishi maisha ya utaua. Nakushuhudia leo mkuu ukimuomba ajifunue kwako anajifunua na kusema nawe. Nina ushuhuda na kushuhudia usiku huu kuwa anasema na anajifunua kwa wajoli wake.
Haya hongera na kuwa na usiku mwema. Lala unono na mapepo yaongee nawe leoUnajidanganya....!! Huwa unaonge na mapepo instead..