Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Hello Great Thinkers,
Nimeona hii kitu japokuwa sijaenda deep kujua kiundani,, ila nimeona nifanye ku share na nyinyi ili kama mtu anapenda atafute zaidi.
Hii ni kama elimu inayoonyesha jinsi au kwa nini Magonjwa fulani yanaaffect zaidi watu(population) ya sehemu fulani (geographical areas).
Kwa mfano Malaria iko Common in Tropical African Countries na Ulaya haipo kabisa, au Kwa nini Ulaya ilikuwa affected zaidi na Covid kushinda African countries.
Hii inasaidia provision of Health Care Services kwa sehemu husika, Mbili watu wanakuwa aware na sehemu wanazozitembelea au wanazotaka kwenda kuishi, kwa mfano wanaweza kuchukua chanjo kabla hawajasifiri, na tatu inasaidia kujua etiology of diseases by studying population husika unaweza kuestablish causality.
Naandika hii topic sababu nimeona ni kitu useful kushare na nyinyi baada ya kuona topic moja humu inayohusu kwa nini wanawake wa Kanda ya ziwa wanakuwa affected zaidi na Kansa ya shingo ya Uzazi (Cervical Cancer).
Mimi nahisi ni kwa vile hatujui tu labda hata Ukimwi huko kanda ya Ziwa uko common, sababu HPV (Human papilloma virus) mainly ndio inayo sababisha Saratani ya Shingo ya Kizazi, na HPV inapatikana mainly through sex, so itakua ngumu kama kunakuwa na hii viral infection ambayo inakuwa transmitted through sex intercourse then Ukimwi usiwepo sehemu hizo za kanda ya ziwa.
Again i live this open kwa mtu yeyote ku explore, labda anaweza kuja na majibu,
Mimi sio Medical doctor ila nahisi kama kweli tunataka tu save maisha ya wanawake wa Kanda ya Ziwa, then kwanza tuweke awareness kwamba hio Kanda wanawake wanakuwa affected zaidi na hio aina ya Cancer wajue hili, pili wajue Hio cancer ya shingo ya Kizazi inasababishwa mainly na hicho Kirusi cha Human papillomavirus , tatu hicho Kirusi Mainly kinakuwa transmitted through sex, hivyo watumie Condom ili wasipate hicho kirusi na eventually wasi develop hio cancer.
Mwisho ningependa kuona kwenye my beloved Tanzania kuwa na access to Information kwa sehemu husika, kwa mfano wakati unasafiri wanaweza kuweka vipeperushi katika vyombo vya usafiri, mtu ajue sehemu anayotembelea inaweza kumu affect kiasi gani kiafya au ajikinge vipi...Knowledge is a powerful tool.
Karibuni kwa michango and more insights kwa wale wataalamu.