Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
MC Pilipili alizua maswali mengi wakati wa sherehe yake ya ndoa na Mena Kanisani Juni 29, 2019 alipokataa sehemu ya kiapo cha ndoa kilichohusisha maneno "kwa shida na raha" madhabahuni.
Kukataa kiapo muhimu katika muktadha wa ndoa ya Kikristo, ambacho kinasisitiza uvumilivu katika changamoto za maisha ya ndoa, kumeonekana na baadhi ya watu kama ishara ya kutokuwa tayari kukabiliana na magumu ya ndoa.
Soma: Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!
Kitendo hicho kilikuwa kinyume na maadili ya ndoa ya Kikristo, ambayo huhimiza uvumilivu na mshikamano katika hali zote.
Je, hili linaweza kuwa miongoni mwa sababu zilizochangia kuvunjika kwa ndoa yao?