MC Pilipili alizua maswali mengi wakati wa sherehe yake ya ndoa na Mena Kanisani Juni 29, 2019 alipokataa sehemu ya kiapo cha ndoa kilichohusisha maneno "kwa shida na raha" madhabahuni.
Kukataa kiapo muhimu katika muktadha wa ndoa ya Kikristo, ambacho kinasisitiza uvumilivu katika changamoto za maisha ya ndoa, kumeonekana na baadhi ya watu kama ishara ya kutokuwa tayari kukabiliana na magumu ya ndoa.
Aisee!!!!!!
Alileta mzaha madhabahuni
Hii inanikumbusha mwanazuoni mmoja kutoka Clarksdale Mississippi akiitwa William Leonard Roberts Ii kwenye andiko lake la kimuziki alisema " If you get in trouble ,that just mean you fuckin up"
So this nigga fucked up then he pretend to be philosopher

Ndoa za kihuni tu hizo na mara nyingi hizi hufungishwa kwenye makanisa ya mabati wahuni walikojipachika vyeo vya utume unabii sijui upasta,KKKT Anglican na Catholic huwezi kuta ujinga huu.
Ukimsikiliza hapo anajaribu kukataa asili ya maisha aliyoyaweka Mungu,hakuna maisha bila shida hakuna maisha bila maradhi hivyo ni vitu vipo tunaishi navyo,makanisa niliyoyataja hapo juu mmoja ktk washiriki wa ndoa akishakuwa amesita kujibu namna kiapo kinavyotakiwa ndoa inaahirishwa but hapo ilikuwa bora liende.
Nimepata hasira sana kwanza kamvunja moyo sana huyo mtumishi na huenda alimkwaza sana ila akawa na busara ili kumaliza tukio salama
Huyu pilipili bogus kabisa
😂😂😂😂😂kubabenga kama mazuri vile ................sasa hana pa kwenda kushtaki maana yeye alikuwa wa raha ndio maana shida zilipotokea mtoto kasepa mazima........hapa hata mwenyezi mungu hawezi kukupa msaada maana ulimbagua kwenye kusema ukweli