Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
''Hajui kucheza, ingekuwa mm ningefanya hivi, ningefunga'', hayo husemwa na wale walioko nje ya uwanja, ukiwa ndani ya uwanja, siajabu ungeshindwa kufunga, ndugu zangu tusiwalaumu sana wanaofanya hivi, kwani system ya elimu ya TZ imewalazim, kwani mitihani inatungwa na walimu wachuo, na wanasahihisha wenyewe, na pia wanauza maswali kwa wanafunzi, je wangejuaje kuwa majibu ya swali fulani yanatoka, topic gani kama si kuuzwa kwa maswali ili kuwapatia kipato waalimu wetu wakati wa mitihani, najua wengi watakataa, lkn ukipita chuoni utayaona haya nisemayo.
ndiyo utamaduni uliojengeka katika elimu yetu, si yakulaumu.
Nawakilisha.
Mwongozo wa Spika....
Kaa chini ........greeeeekkk..by kiroboto
hata kama una degree ninawasiwasi nayo sana..wenda na wewe ulikula chabo!!!!''Hajui kucheza, ingekuwa mm ningefanya hivi, ningefunga'', hayo husemwa na wale walioko nje ya uwanja, ukiwa ndani ya uwanja, siajabu ungeshindwa kufunga, ndugu zangu tusiwalaumu sana wanaofanya hivi, kwani system ya elimu ya TZ imewalazim, kwani mitihani inatungwa na walimu wachuo, na wanasahihisha wenyewe, na pia wanauza maswali kwa wanafunzi, je wangejuaje kuwa majibu ya swali fulani yanatoka, topic gani kama si kuuzwa kwa maswali ili kuwapatia kipato waalimu wetu wakati wa mitihani, najua wengi watakataa, lkn ukipita chuoni utayaona haya nisemayo.
ndiyo utamaduni uliojengeka katika elimu yetu, si yakulaumu.
Nawakilisha.
hata kama una degree ninawasiwasi nayo sana..wenda na wewe ulikula chabo!!!!
Hao ndio viongozi wetu wa kesho............. :baby:
sasa unafurahia u***nga!! si la kufurahia mkuu!!Hahahaha wadada wanaongoza kuingia na madesa vyuoni wanajivunia masketi na magauni yao kwa kuficha nondo.