vp na wewe unachakachuaga au???Hawa ndo wanao pitisha mswaada bila kuisoma vizuri na kuelewa wao ni Ndiyoooooooooo
sasa unafurahia u***nga!! si la kufurahia mkuu!!
sasa unafurahia u***nga!! si la kufurahia mkuu!!
Denti wa elimu ya juu akitumia juhudi na maarifa ili asiliwe kichwa kwenye paper la uchumi.
Paja limepigwa na rubber band nondo isiteleze wala isicheze cheze eneo husika.
Hana noma wala nini anakula chabo kiulainiiiii msimamizi mwenyewe kazidiwa maarifa.