St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,174
Mkuu unahitaji kurudi shule, msomi hawezi kuandika hivyo labda uwe mwehu wa ccm basi upo sawa.Something is better than nothing, hata tukinunua za kubebea maembe huko Ulaya ni bora kuliko aibu ya kuwa na mindege ya kukodi with -VE profit. Go go JPM, tuokoe na aibu ya kukalia kusifia vya wenzetu vyetu vikitufia
Mkuu hata mimi najiuliza maswali mengi sanaHata mi nanyamazishwa na wahudumu kama watano maana sijapewa jibu nani katulaani. Ethiopia wanatandaza reli za mwendokasi hapo nikifika nashikwa kizunguzungu mpaka zimamoto waninyanyue.'Tanzania ni yetu sote ila imetushinda
Hapo XaxaUnadhani mmiliki wa Rwandan air atamshauri nini air tz?? Biahsra babu
Nakwambia Ethiopia ukiingia Kati wanabandua miradi ukifika unachoka mwenyewe. Sisi kamradi kadogo utasikia nchi nzima inazizima serikali , bunge , hadi chama tawala inabidi tuwe na kiu muda wote na tusiridhike na tumiradi .Mkuu hata mimi najiuliza maswali mengi sana
Ni nini hasa chanzo cha kupitwa kwa kila jambo la maendeleo..!?