Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ndiyo Omo! Sabuni kidogo, povu jingi!Unajua wewe mjenga hoja unakitu unacho kitaka ndo maana umesema 2013 + 2017 kwa hakili yako miaka mingapi imepita hadi akawa hvo jenga hoja zimazo eleweka ndo maana nchi haindelei kwa tofauti zetu hizi,,kwamba huyu wa SIMBA na huyu wa YANGA ,,,, yule CCM yule CHADEMA,,,,kwa tabia hizi TANZANIA hatufikii level za wenzetu ,,,,cha msingi tujitambu sote ni wa TANZANZIA bhana kwani aibu ya nyumbani kwenu inakuhusu na wewe!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio unavuruga. Mambo ya CCM na CHADEMA yametoka wapi? Hapo ameongelea utofauti wa Tambwe wa 2013 na wa 2017 sasa mambo ya siasa yanaingiaje.? Hivi unaelewa maana ya upinzani wa jadi.? Eti ndio maana hatuendelei. Heheee [emoji28] [emoji28]Unajua wewe mjenga hoja unakitu unacho kitaka ndo maana umesema 2013 + 2017 kwa hakili yako miaka mingapi imepita hadi akawa hvo jenga hoja zimazo eleweka ndo maana nchi haindelei kwa tofauti zetu hizi,,kwamba huyu wa SIMBA na huyu wa YANGA ,,,, yule CCM yule CHADEMA,,,,kwa tabia hizi TANZANIA hatufikii level za wenzetu ,,,,cha msingi tujitambu sote ni wa TANZANZIA bhana kwani aibu ya nyumbani kwenu inakuhusu na wewe!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee! Kama sio photo shop, basi acheni yanga iitwe yanga! Niyonzima akiiona hii anaweza badili mawazo! Tuwekee na za kina Yondan na Bartez tuone ni jinsi gani Yanga ilinusuru afya za hawa vijana!View attachment 550520
Yanga ni sehemu salama sana kwa wachezaji kuliko Simba!!
Wewe zombi tu inamaana miaka 20 iliyopita ulikuwa km ulivo mbona mna mifano ya kipuuzi,kumbuka alikuwa kulipwa vizuriView attachment 550520
Yanga ni sehemu salama sana kwa wachezaji kuliko Simba!!
Tulia sindano ipenye vzr wewe!!Wewe zombi tu inamaana miaka 20 iliyopita ulikuwa km ulivo mbona mna mifano ya kipuuzi,kumbuka alikuwa kulipwa vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana mkuu kwa kutambua hii ni aibu,na aliyeleta aibu hii ni Simba!!!!Unajua wewe mjenga hoja unakitu unacho kitaka ndo maana umesema 2013 + 2017 kwa hakili yako miaka mingapi imepita hadi akawa hvo jenga hoja zimazo eleweka ndo maana nchi haindelei kwa tofauti zetu hizi,,kwamba huyu wa SIMBA na huyu wa YANGA ,,,, yule CCM yule CHADEMA,,,,kwa tabia hizi TANZANIA hatufikii level za wenzetu ,,,,cha msingi tujitambu sote ni wa TANZANZIA bhana kwani aibu ya nyumbani kwenu inakuhusu na wewe!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua picha ya bibi yako akiwa binti halafu linganisha akiwa mzeeView attachment 550520
Yanga ni sehemu salama sana kwa wachezaji kuliko Simba!!
tulia dawa iingieUnajua wewe mjenga hoja unakitu unacho kitaka ndo maana umesema 2013 + 2017 kwa hakili yako miaka mingapi imepita hadi akawa hvo jenga hoja zimazo eleweka ndo maana nchi haindelei kwa tofauti zetu hizi,,kwamba huyu wa SIMBA na huyu wa YANGA ,,,, yule CCM yule CHADEMA,,,,kwa tabia hizi TANZANIA hatufikii level za wenzetu ,,,,cha msingi tujitambu sote ni wa TANZANZIA bhana kwani aibu ya nyumbani kwenu inakuhusu na wewe!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa Tambwe alikuwa na mwezi mmoja akitokea Uganda kujiunga na Simba.View attachment 550520
Yanga ni sehemu salama sana kwa wachezaji kuliko Simba!!