Jionee tofauti, Amisi Tambe wa Simba 2013 vs wa Yanga mwaka 2017

Unajua wewe mjenga hoja unakitu unacho kitaka ndo maana umesema 2013 + 2017 kwa hakili yako miaka mingapi imepita hadi akawa hvo jenga hoja zimazo eleweka ndo maana nchi haindelei kwa tofauti zetu hizi,,kwamba huyu wa SIMBA na huyu wa YANGA ,,,, yule CCM yule CHADEMA,,,,kwa tabia hizi TANZANIA hatufikii level za wenzetu ,,,,cha msingi tujitambu sote ni wa TANZANZIA bhana kwani aibu ya nyumbani kwenu inakuhusu na wewe!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ndiyo Omo! Sabuni kidogo, povu jingi!
 
Wewe ndio unavuruga. Mambo ya CCM na CHADEMA yametoka wapi? Hapo ameongelea utofauti wa Tambwe wa 2013 na wa 2017 sasa mambo ya siasa yanaingiaje.? Hivi unaelewa maana ya upinzani wa jadi.? Eti ndio maana hatuendelei. Heheee [emoji28] [emoji28]
Mwisho niseme hivi hakuwa sehemu salama kabisa njaa kushindia mihogo siyo jambo jema. Tusubiri kumuona ajibu akibadilika kama ilivyo kwa Kessy.
 
Ahsante sana mkuu kwa kutambua hii ni aibu,na aliyeleta aibu hii ni Simba!!!!
 
Hii habari ni uchochezi, mwisho wake sio mzuri.
Tena wewe mleta mada tangulia polisi una kesi ya uchochez[emoji23] [emoji23]

nothing is easier than blaming others for your own problems
 
tulia dawa iingie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…