Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,036
- 9,331
Tunataka TV za kibongo pia tunaweza kuona huku ughaibuni au kuna site yoyote tunaweza kupata like star tv na kadhalika maana tunahamu nazo sana yaani.
Ok powa kabisa mimi nipo U.k,Sasa nitazipataje????
nenda jump tv-huko wana channel ten
Nimecheki hiyo JumpTv haina stesheni za nyumbani....iko ya Kenya..
Napata hivi "We're sorry!
We cannot locate the page you were looking for."