Joseverest bhana, we ngoja tufirst to reply au Joseverest kaniwahi
[emoji23][emoji23]Kuna mahali nimefika kwa mara ya kwanza wanapiga ugali wa mtama asubhi,mchan na jion,aisee nateseka sana na nisipokula nitaonekana nmewadharau,,,bas sku ya tano leo mbona nakoma mie mtoto niliezoea wali samak kwa nazi
You look very cute and sexy, nakuja pm ila usije ukaweka screenshot za mtongozo wetu hapa please!MKUU KWELI UMEJIONGELESHA
Mbona umeweka mikkwala tena humu?Kipindi flan Nilikua kipanga sana darasani hadi nikawanaipenda shule,shule ikaendelea ikaanza kua ngumu nikapambana nkashindwa, nikainuka nikaendelea...
Sasa hivi nipo mahali flani japo napopataka sijafika Ila naamini ntafika!!
Huu ni uzi maalumu wa wana Jf kujisemesha,ukiona mtu katoa sumu wee cheka pita kimya kimya...nataka nione wangapi wataweza kujisemesha vyema
Haya karibuni
Note!sio lazima mtu aelewe unachojisemesha Ila hakikisha unaandika vizuri vitu visomeke!!
Safi hapo ujaeleweka lakini umeandika vizur umesomeka bila ya shaka ww ni Professornimeamka asubuhi naenda toilet mara nasikia sauti boss ananiambia mbona lile faili sijalipata nikajiuliza kwanini ajalipata?? mbona daku nilikula usiku wa jana na leo ndio nataka kuangalia hii movie ya chekinorisi, basi nikaenda mlimani city ile kutoka tu! jua kaliii mawimbi ya koko yanapiga, ndio kupanda gari haraka haraka lakini uwezi amini nilivyo shuka tu kwenye ndege nilipokelewa kwa bashasha! na trump kuuzulia kikao cha ccm yetu.
Funguka tu.Kuna mtu nampenda sana humu lakini,ananizingua. Lakini poa yote maisha,nitapata tu mwingine. After all jf ni kama bahari kuna kila aina ya samaki....
unataka uingie au umejiongelesha poa kwa kwel nahis malango unakusumbua ila uambie tu utafungukaFunguka tu.
Funguka tu.
Funguka tu.
Fungukaaaaaaaaaaaaa.