Jiongeleshe apa...

Kipindi icho ndio naanza kutumia simu yangu kulikua na ofa ya kutuma msg kwa sh moja mtandao flani hv huko ndiko nilikofanya yangu maana ukiwa na sh mia tu basi unatuma msg zakutosha

Unakumbuka kipindi soda ya ni sh 100 Pepsi alaf koka 150 kama ulipata iyo huduma na bado ujawah shika ata laki kaa chini jitathmini kuna mahali unakosea
 
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Nimemfunguka kwake lakini hanielewi, labda nikutume wewe ukanibembelezee. Ukifanikiwa,nitakutunuku......
Hahahahaha..
Wanasema usilazimishe upendo.

Utanitukunu nini maana deal hii..!
 
Nikimaliza shule ntashona suti nikimaliza shule nitashona shuti..eeh kumbe nimekosea nikimaliza shule nitasona suti..duuh..aya bana nimeshindwa unaeza endelea
 
Kuna mahali nimefika kwa mara ya kwanza wanapiga ugali wa mtama asubhi,mchan na jion,aisee nateseka sana na nisipokula nitaonekana nmewadharau,,,bas sku ya tano leo mbona nakoma mie mtoto niliezoea wali samak kwa nazi

Kwa menu hiyo natumai ukienda toi unakwenda nakijiti [emoji1493]
 
Mmmh, hawa trafic sasa wajiandae lazima kuanzia tarehe 1 july vimeo vyetu vyote tuvitoe barabarani na mwaka huu lazima wakalime , tena ningepata simu number ya Mpango ningempa mpango mwinine kwa next budget afutilie mbali stickers za insurance ili na yenyewe ilipwe kupitia wese, Halafu lesen yenyewe imeisha dhuu huyu trafiki mbona kama anataka kunitokea vile, ngoja nimtolee kubwa, napiga U turn hapa hapa na mida ya kufuturu ndoo hiyoo
 
Hahahahaha..
Wanasema usilazimishe upendo.

Utanitukunu nini maana deal hii..!
Kweli penzi halilazimishwi,laiti lingekuwa linauzwa ningelinunua...

Nitakutunuku kitu ambacho hutakaa unisahau maishani mwako....... Let us close a deal!
 
Kweli penzi halilazimishwi,laiti lingekuwa linauzwa ningelinunua...

Nitakutunuku kitu ambacho hutakaa unisahau maishani mwako....... Let us close a deal!
Hapo hapo kitu ambacho sitakisahau. Owky owky

Lets the game begin....
 
Hapo hapo kitu ambacho sitakisahau. Owky owky

Lets the game begin....
[emoji12] [emoji12] [emoji12] njoo nikunong'oneze mtu mwenyewe ili uanze kazi,ukifanikiwa kumtia kwenye himaya yangu... hutatajutia hili deal
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] njoo nikunong'oneze mtu mwenyewe ili uanze kazi,ukifanikiwa kumtia kwenye himaya yangu... hutatajutia hili deal
Nakuja uning'ate sikio maana sitaki jutia hiyo deal.
 
Kuna mahali nimefika kwa mara ya kwanza wanapiga ugali wa mtama asubhi,mchan na jion,aisee nateseka sana na nisipokula nitaonekana nmewadharau,,,bas sku ya tano leo mbona nakoma mie mtoto niliezoea wali samak kwa nazi
Wanapiga ndyo nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…