Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
[emoji125] [emoji125] [emoji125] umeua!Muulize anajua mzunguko wa siku zake huenda amesahau!!
Kuosha gari asubuhi kabla hajaenda kazini bila shakaHahahaaaa!! Kazi gani hiyo utampangia mkuu?
Nafasi yake MPE Dada wa kaziNimemuuliza "WIFE"..fedha za matumizi zimebaki kiasi gani? As per this morning, ameniambia hakumbuki, mpaka amuulize "DADA wa KAZI"
Jioni nitampangia kazi nyingine! Hawezi kunijibu mm hivi.[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]