Kama yuko ndani ya friends basi nipo nae,ndo tunatoka MasakaUtakuwa ndani ya friends wewe.
wape hi, nyabo wote huko.
Komaa, ila angalia huko wanawake wanavyaa robotatu uchi mji mzima usijeishia kwenye bizness nyingine
pengine wanafanya biashara kwa njia ya mtandaoBora Wewe unajituma kutafuta
Kuna wabwekaji humu mtandaoni kazi yao kutukana serkali tu wamejifungia Ndani kama mwali hawajishughulishi
Hahahaaaaaa hapana mkuu hapa naelekea Kahama ili Kesho mapema sana Nitaanza safariUtakuwa ndani ya friends wewe.
wape hi, nyabo wote huko.
Komaa, ila angalia huko wanawake wanavyaa robotatu uchi mji mzima usijeishia kwenye bizness nyingine
Next year Kampala nasubir nyuzi udondoshe tuanze kuipanga safarVyote vinavyomuhusu mwanamke mkuu
Mkuu ndo bus niliyoikuta hapa kahama zipo mbili tu FALCON 35,000/= or FRIENDS 40,000/= to kamparaUtakuwa ndani ya friends wewe.
wape hi, nyabo wote huko.
Komaa, ila angalia huko wanawake wanavyaa robotatu uchi mji mzima usijeishia kwenye bizness nyingine
Ok nilidhani uko kwenye Friends ya kutokea MwanzaHapana mkuu nakwenda Kahama now
Pakti nauza elfu 1Ok nilidhani uko kwenye Friends ya kutokea Mwanza