Jioni ya 4/11/2019 safarini Uganda kibiashara

Nimefatiliaaa comment zote kuanzia mwanzo,, tafadhari kwa alietoa uzi napenda kujua mfano minipo Kanda ya Kati singida je ninaweza pata bidhaa yenye unafuu wa Bei kuliko ukichukulia DAR

Kuwa muwazi nasi tunaohangaika jinsi ya kupata wazo la biashara gani tufanye inaweza ikawa mwanya wakufunguka na kuanza biashara kutokana na urahisi wa Bei pamoja na ubora wa bidhaa zinazopatikana UGANDA,natanguliza shukrani Kaka funguka nasi tuweze kupata ajira
 
Reactions: rr4
1.Kwa mfano nimechkua mizigo ya aina 3 yan labda nguo spacial,viatu viatu spcial na balo 2 za mtumba wa nguo za watoto je mzigo huu kodi yake inakatwa kwa pamoja au mbali mbali
Mkuu mzigo utalipa Kodi kulingana na watu wa Kodi watakavyouona mzigo wako au receipts ulizo nunulia mzigo wakati mwingine kulingana na ukubwa wake so Itategemea utapakutaje border

ila wengi wana bargain na konda then konda ndo anakwenda kusema nao ukienda mwenyewe Lazima upigizwe
 
Ikiwa nimeshafunga mzgo labda wa mil3 je natakiwa niwe na akiba ya shngap ya tra pale border ili mzigo upite?
Itategemea na mzigo wako angalau uwe na laki moja ya kibongo
 
Asante sana Mkuu
 
Kuhusu urahisi wa bei Inategemea Unafata nini Uganda mfano kuna chupi Nimeiona Uganda bei ni sawa na kkoo lakini kuna chupi hazipo Kkoo Uganda zipo

na Kama upo Singida ujue Nauli ya Ug kubwa kuliko DAR ila faida ya Uganda faida unaiona kuanzia unapochenji pesa kama ulikua na 450000 tz ujue Ug una 700000
 
Biashara gani hasa watanzania wanazifata uganda
 
Sawa Kaka nashukuru
 
Biashara gani hasa watanzania wanazifata uganda
Biashara ni namna wewe unataka iwe but naona wengi wanafata Nguo japo nguo mara nyingi zinatoka China so hata bongo zinatoka China

sina Uzoefu sana lakini
 
Ikiwa nimeshafunga mzgo labda wa mil3 je natakiwa niwe na akiba ya shngap ya tra pale border ili mzigo upite?
Naskia pia ukitoka na hiliki/Iriki Tz kule inalipa sana,mwenye info zaidi amwagike kdg hapa wakuu tusaidiane.Unajua inakuwa vyema sana kama unatoka huku na cargo na unarudi na cargo.Au ni bidhaa gani nyingine ambayo wao kule wanaitafuta?
Maswali ya msingi sanaa, nashangaa watu wanakoma na chips, chapatiii na nusu uchi....
Futuhi raha sanaa....

Wazoefu mnatuchangaya kdg.....
Mara tukiongea kiingereza tutaonekana wa kuja tutapigwa......
Tukiongea kiswahili tutaonekana wajeshi tutachukiwaaa.......

Sasa tuongee lugha gani?
Utaanza kukariri lugha yote ya biashara?
Maana mpk sasahv mm najua tuu
Lukumi=1000,
Mtwaro = 10,000,
sebo=mwanaume...
Na sijui km yatafikisha kesho, labda hio lukumi,

Nyie mmetumia lugha gani?
Ukiniambia kiingereza bora nikatafte washkaj zangu waliopo kule nizunguke nao,
maana ku bargain kwa ngwengwe nikipajii....

ukizidiwa utaishia kusema anyway kila bei unayotajiwa...
Unarudi bongo una faida ya buku...
Sitaki yanikute km ya jamaa yng aliendaga china kibiashara,
alooooo......

Hembu tutoeni utata,
Sasa lugha zote shida, Tukaongee kisambaa kampala?

Mjibu na hilo swali la mshkaj hapo nililo li quote 'ni bidhaa gani sisi tunaweza toka nazo huku na kwenda kuuza kule?'
 
Ngoja waje wakupe muongozo πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…