Tetesi: Jipangeni kisaikolojia corona ilitabiriwa muda mrefu | itafanya uharibifu mkubwa sana kwenye uchumi wa dunia

Tetesi: Jipangeni kisaikolojia corona ilitabiriwa muda mrefu | itafanya uharibifu mkubwa sana kwenye uchumi wa dunia

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,130
Reaction score
4,735
UKITAKA KUMFICHA MWAFRIKA MWEKEE UJUMBE KWENYE KITABU

IMG_20200326_184114.JPG

Hii ni makala nimeiona kwenye status ya mtu whatsapp nikaamua kujioa uafrika na kuisoma.
Kama utaisoma njoo ulete mrejesho tu au uulize kitu ambacho hujaelewa

Ngoja nione ni wangapi wataisoma🤔

Sitaki kuongeza chochote isome mwenyewe hapa

https://www.jw.org/finder?wtlocale=SW&srcid=jwlshare&prefer=lang&docid=102005922
 
UKITAKA KUMFICHA MWAFRIKA MWEKEE UJUMBE KWENYE KITABU

View attachment 1400144

Hii ni makala nimeiona kwenye status ya mtu whatsapp nikaamua kujioa uafrika na kuisoma.
Kama utaisoma njoo ulete mrejesho tu au uulize kitu ambacho hujaelewa

Ngoja nione ni wangapi wataisoma[emoji848]

Sitaki kuongeza chochote isome mwenyewe hapa

https://www.jw.org/finder?wtlocale=SW&srcid=jwlshare&prefer=lang&docid=102005922
70% ya akili za mwaAfrica zimegubwa na fikra za kidini uchawi vitisho lamli nk ziko mbali sana na 'pragmatic science'.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
70% ya akili za mwaAfrica zimegubwa na fikra za kidini uchawi vitisho lamli nk ziko mbali sana na 'pragmatic science'.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kabisaaa..
Leo kuna picha inazunguka Kwenye mitandao ikionesha kichwa cha treni kimeandika COVID-19 wenyewe wanadai hiyo treni ilikufa tokea mwaka 1956 lakini ilitabiri kuhusu Corona.
Yaani ni UJINGA mwingi Tu umewajaa wabongo
 
Sasa mimi nimekosoa nini?
Umekosea kutaja alietabiri,umesema ni mashahidi na ni wataalamu wa afya.

Mbona mm nimesoma bila kuangalia itikadi yangu,kwann waafrika hapendi kudadisi mambo? Ukipewa kitu kabla ya kujua faida na hasara yake unaanza kumtukana aliekupa?
 
Huu ugonjwa ungeanzia Africa kusingekuwa na haya makandokando maana kila kukicha zinakuja story za kubahatisha za Kwenye kahawa...
Kila mtu anasema lake ilimradi siku ipite
Naamini ungeanzia Afrika ungewatafuna wote ndio akili ya kujikinga ije mana mngekimbilia kwa waganga mkijua mmelogwa,kumbe mambo ya kawaida tu
 
Ago

Mbona Andiko linatotabiri dawa hatulioni/ sahvi corona imekuwa kama mpira kila mtu nikocha.
Soma kwanza acha uvivu ww mwafrika,kwanini hutaki kusoma mbona dawa imetajwa?
 
Umekosea kutaja alietabiri,umesema ni mashahidi na ni wataalamu wa afya.

Mbona mm nimesoma bila kuangalia itikadi yangu,kwann waafrika hapendi kudadisi mambo? Ukipewa kitu kabla ya kujua faida na hasara yake unaanza kumtukana aliekupa?
Sasa mkuu huoni kama wewe ndiye ambaye uko too judgemental...kwa nini unadhani nimewataja negatively?
 
Back
Top Bottom