Tetesi: Jipangeni kisaikolojia corona ilitabiriwa muda mrefu | itafanya uharibifu mkubwa sana kwenye uchumi wa dunia

wewe andiko lako umewaletea waafrica na unajua kabisa waafrica hawapendi kusoma.lipeleke huko kwa wanaopenda kusoma huko italy na spain.msitutishe na vi pripaganda vyenu vya corona kila muda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo mnapenda kudandia dandia vi makala vya uongo na ukweli ili mradi tu uonekane na wewe ulisoma kitu fulani
 
Hivi watu mbona mnatamani sana uharibifu wa huu ugonjwa kuliko matumaini?
 
Umekosea kutaja alietabiri,umesema ni mashahidi na ni wataalamu wa afya.

Mbona mm nimesoma bila kuangalia itikadi yangu,kwann waafrika hapendi kudadisi mambo? Ukipewa kitu kabla ya kujua faida na hasara yake unaanza kumtukana aliekupa?
Wewe ni mzungu wa nchi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unabii kuhusu korona umeibuka baada ya korona yenyewe kutokea? kwa nini msingeuleta angalau miaka 2 kabla...
 
Umesoma hiyo makala? Mana ww ndio umechelewa kujua hilo toka 2005 watu wanajua lakini nani anakumbuka?
Mbona unabii kuhusu korona umeibuka baada ya korona yenyewe kutokea? kwa nini msingeuleta angalau miaka 2 kabla...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi kabisaaa..
Leo kuna picha inazunguka Kwenye mitandao ikionesha kichwa cha treni kimeandika COVID-19 wenyewe wanadai hiyo treni ilikufa tokea mwaka 1956 lakini ilitabiri kuhusu Corona.
Yaani ni UJINGA mwingi Tu umewajaa wabongo
Tatizo ni ninyi mnao jiona wasomi halafu hamna tafakari yeyote

Msomi aliye elimika kisawasawa lazima aamini kwamba kuna maisha nje ya elimu yake ya kukalili.

Hivyo kila jambo lililo nje ya elimu yake linapo zungumzwa au kutokea hutumia mda kulitafutia usahihi kwa namna anayo ona itamsaidia na sio kukimbilia kuita wengine wajinga eti kisa tu asicho kiamini yeye wengine wanakiamini

nadhani ukitizama american got talent ujifunza kumbe nje ya elimu ya darasani kuna mambo mengine yapo nje ya hapo
 
Hii point inamtosha kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…