we vepe! si anataka kuona kama wateja mpo then azidownlod kutoka Amazon?Sawa, ingawa Nina wasiwasi hizi bag huyu jamaa amezichukua mtandaoni maana nilishaziona exactly the same.
Angepiga picha kwa camera yake ingejenga imani zaidi.
Ila km anazo basi nitachukua mbili moja yako
Nilifikiri mtafaidi kuku zenu na Faru John....kumbe utafaidiwa wewe!! Lahaulaaa...okk week end hii niko free soo utanifaidi kwakweli mapemaa
yapoo store nikija ni pick and payTupo Daressalaam QualityCentreMall - 0712888884
Naomba uorodheshe vitu vyote vinavyoambatana na hilo bag,ili unaponitumia niweze kuhakiki kuwa vipo vyoteAnti-theft packpack , uniquefashion and uniquefeatures
.
- More Secure (hidden zip)
- WaterProof mateial (front side)
- USB charging port (phone charging)
- Night security .
.
Comes with 3 colors .
.
Bei ni 75000tzs tuu
.
Jumla - whatsapp 0712888884
.
Contact us 0712888884/ 0624888884
.
Location: daressalaam - QualityCentreMall.
.
Mikoani Tunatuma
Kuna njia yakuchaji ndani kwa ndani cmu ....Begi ipo na cable ya kuchajia simu
ππππππ vyote tunafaidi wacha unoko.......... huwa hatupati wasaa wa kukaa muda mrefu pamojaNilifikiri mtafaidi kuku zenu na Faru John....kumbe utafaidiwa wewe!! Lahaulaaa...
it sounds morden like........... wooow Bigurube uliniahidi leo ndo waenda kuninunulia please choose nice colour for meUnaweka power bank ndani, nje kuna port ambayo unachomeka cable unachaji simu
Siamini hili bag leo nimekuja kulipata kwa bei ya promoshenihizo picha za kudowload, hebu weka picha za mzigo ulio nao!!
Halafu ni made in wapi?