Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
-
- #2,241
32Bei za inch ngap hizi?
mkuu pole na yaliyo kukuta pia ungenitaarifu kama ilivyo ada usingepata usumbufu wowote pia tunafanya free dilivery kwa wakazi wadar kuhusu bunju ni utayari wako unatakiwa ukiwa tayari mzigo unaukutana nao mlangoniKufika hapo dukani kwenu nimekoma. Madalali kibao. Bora nikutafute kwa simu. Unaweza kuniletea mzigo Bunju?
Imeunganishwa na king'amuzi?500k mangi
ilikua nini mangiImeunganishwa na king'amuzi?
zipo og hakuna copy ni smart ina free channel bei zake kwasasa 520,000Nitajie bei ya tcl smart nchi 32. Weka bei ya og na bei ya ambayo sio og nikuletee mteja
Sawa boss, kuna jamaa yangu ndie aliekuwa anahitaji nadhan atawatembelea hvi karibuni, bei ya mwisho ngapi na warranty ni miaka mingapiView attachment 672336
TCL Smart 32 inch with
free chanel
smart tv
hdmi
usb out
av out
VGA
Original tv
price 520,000 tu
bei ndio hiyo mangi warranty 2 yearsSawa boss, kuna jamaa yangu ndie aliekuwa anahitaji nadhan atawatembelea hvi karibuni, bei ya mwisho ngapi na warranty ni miaka mingapi