Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
-
- #2,441
kwetu hakuna mkuu watts 3000 kwa kariakoo sijawahi kuiona labda ujaribu posta kule au mliman mkuu
Huyu mnyama ana
3000 W power output......Atapatikana nikimhitaji??
hii mkuu watss 1000 chukua sony watss 1000 spika ndogo 5 au sony watss 1000 spika ndogo 3 na 2 ndefu takupoozeaNaikubali hii sema bei yake iko juu kinoma. Swezi kupata yenye bei iliyopoa shekhe?
Bei gan?hii mkuu watss 1000 chukua sony watss 1000 spika ndogo 5 au sony watss 1000 spika ndogo 3 na 2 ndefu takupoozea
Nahisi kuna duka mtaa wa uhuru maduka ya mwanzoni kabisa tena kituo cha congo jina silikumbuki vzuri huu mzgo nishawah kuupata japo mda kidogokwetu hakuna mkuu watts 3000 kwa kariakoo sijawahi kuiona labda ujaribu posta kule au mliman mkuu
ipi kat ya hzo mkuuBei gan?
Hyo ndogo 3 na 2 ndefu.ipi kat ya hzo mkuu
spika ndogo 5 bei 650,000Hyo ndogo 3 na 2 ndefu.
Au niambie na bei ya 5 ndogo
Nimekupata mkuu nitakutafuta kwa hii number uliyoweka hapafridge samsung ni 1,360,000
samsung tv 48" kawida bei 1,755,000
smart curved bei 2,000,000