Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
-
- #2,701
Ongea jambo basi kuhusu hapo juu! Nimepekua pekua pages kadhaa wa kadha nikitarajia kuona mapicha picha ya laptops na bei zake, lakini wapi!!!LAPTOP USED FROM UK AINA MBALIMBALI
Zina ingia soon isipokuwa kama utakua na haraka nayo nitajie unayo hitaji takuchukulia sehemOngea jambo basi kuhusu hapo juu! Nimepekua pekua pages kadhaa wa kadha nikitarajia kuona mapicha picha ya laptops na bei zake, lakini wapi!!!
Hebu weka mzigo wenye specifications za kiutu uzima...
Zina ingia soon isipokuwa kama utakua na haraka nayo nitajie unayo hitaji takuchukulia sehem
Hiyo 790Processor: Intel i7
RAM: Either 16GB, 12GB, or 8GB
HDD: 1 TB
Screen size: 13' to 15"
Processor i5
RAM: 8GB, or 12GB
HDD: 1 TB.
Screen size: 13" to 15"
Bei yake hapo ina-range vipi?
790 unamaanisha ipi kati ya hizo mbili hapo mkuu?Hiyo 790
Njoo hapa ddc ukifika nipigie au nitumitextnafikaje Dukani kwenu mkuuu
Iko wapi hiyo microwave? nahitaji piaHii ni microwave ya brand gani? Size je?
Nami nahitaji microwave, ingependeza ukatuwekea picha na specifications tafadhali.
Njoo watsapp nikufowdie mbona hapa tumepost nuingiIko wapi hiyo microwave? nahitaji pia
Sawa mkuuNjoo watsapp nikufowdie mbona hapa tumepost nuingi