Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
-
- #2,761
Bei gani radio yenye screen videohapana ila ukihitaji takuchukulia somewhere
samsung smart 1,200,000
750,000
Sawaa. Nimekoswa cha kuongea750,000
kuna tcl smart 550,000 zote ubora sawa
Ongea tu mkuu njo whatsap kwa ufafanuzi zaidi
Ahsante bro, Vip kuhusu ubora wa Tcl against zile kampuni kongwe kama Samsung, Lg, na Sony! Kwa uimara na ubora wa picha??chukua tcl usipo fika bei chukua starx pia watu hupenda brand zao wenyewe kumshawish mteja huwa ningum ila kwa maono yangu ni hivyo tcl au starx
zote bora quality zote hd ukija utajionea mkuu karibu sana #ujenamajirani#Ahsante bro, Vip kuhusu ubora wa Tcl against zile kampuni kongwe kama Samsung, Lg, na Sony! Kwa uimara na ubora wa picha??
Next week nakutembelea
Sent using Jamii Forums mobile app
tunazo kimei original tulikuwa nazo used kwa sasa hazipo tena