INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

TCL 40" LED Smart TV - Black

Key Features
  • Screen Size: 40"
  • Screen Technology: LCD
  • Screen Resolution: Full HD
  • Connectivity: HDMI USB Audio In/Out
  • Price 1,800,000.00TSh
Mkuu hebu tafakari bei hako upyaaaa.. Hiyo TCL ni bei hiyo kweli.. wakati hata 800k tu unapata
 
Mkuu hebu tafakari bei hako upyaaaa.. Hiyo TCL ni bei hiyo kweli.. wakati hata 800k tu unapata
Biashara huria mkuu kima mtu anahaki yakununua pale anako ona pana mfaa ila kwahiyo 800k haijawahi na haitawahi kuuzwa otherwise iwe ya wizi kuna mteja kama yupo online ata koment hapa alikuja nika mpa bei ya mwisho takayo muuzia ila azunguke kariakoo kote akipata chini ya hapo arudi nayo wala sita chukia na akaja sa tisa tukamuuzia
 
Mkuu nimepitia uzi wako vizuri coz nahitaji.. na kuna moja umeweka bei 900k na kitu nchi TCL nchi 43.. sasa hiyo ya 1.8M ni ipi.. ndio mana nikauliza hiyo bei
 
Mkuu nimepitia uzi wako vizuri coz nahitaji.. na kuna moja umeweka bei 900k na kitu nchi TCL nchi 43.. sasa hiyo ya 1.8M ni ipi.. ndio mana nikauliza hiyo bei
Tcl sijawahi uza zaidi ya 1m mkuu we umejipanga nangap njo shop tutakuuzia
 
Tcl sijawahi uza zaidi ya 1m mkuu we umejipanga nangap njo shop tutakuuzia
Ilikua hiyo Smart ya TCL nch 40.. nikaona tangazo lingine 900k linginge ukawa umeweka 1.8M the same TV ndio mana nikashtuka.. mana kwa 40 nchi hiyo hata kama ni LG au Sumsung haijafika 1.8M
 
Ilikua hiyo Smart ya TCL nch 40.. nikaona tangazo lingine 900k linginge ukawa umeweka 1.8M the same TV ndio mana nikashtuka.. mana kwa 40 nchi hiyo hata kama ni LG au Sumsung haijafika 1.8M
nilikosea ku type mkuu sorry nimeiona nimerekebisha
 
Tcl sijawahi uza zaidi ya 1m mkuu we umejipanga nangap njo shop tutakuuzia
ok nitakuja bado nafanya uchambuzi kati ya hiyo au Hisense.. japo pia najipanga zaid nichukue za makampuni makubwa.. mana hizi ambazo sio smart hazina raha tena
 
SGGM 750C Mixer Grinder 750W - 1.5L White

Keay features

Capacity: 1.5L
Speed control: 3
3 Stainless steel jar
Power: 750W
Overload protection system
Price 235,000.00Tsh
 
Sony 5.1 Channel Home Theater System - BDV-E2100

KEY FEATURE
Brand Sony
Number of Channels 5.1
DVD player / recorder Blu-ray Player
Output power capacity (Watts) 1000 W
Speaker system 1 Way
Price 900,0000.00Tsh
 
Hii kitu cha Sansung naweza kupata?
Mini system
600 W
CD &DVD HIFI
Bluetooth
GIGA Sound Blast
Crystal Sound
Football Mode
Dual USB
FM Radio
TV sound connect
 
LED55S6200 Series TCL Full HD Smart LED Television - 55" Black

Key Features
  • Type: Smart TV
  • Screen Size: 55 Inch
  • Display Type: LED
  • Color: Black
  • Weight: 18.5 Kg
  • Dimensions: 788.2 x 1248.6 x 221.4 mm
  • Bluetooth
  • USB 2.0 x 2
  • HDMI 2.0x3
  • Price 2,150,000.00 TSh
 
LED49S6200 Series TCL Full HD Smart LED Television - 49" Black

Key Features
  • Screen Size: 49
  • Screen Technology: Full HD
  • Screen Resolution: 1920 x 1080
  • Connectivity: HDMI, Wi-Fi Connectivity, USB
  • Power: 110-240V - 50/60 Hz
  • sport mode
  • smart volume
  • dolby audio
  • botton sound type
  • Price 1,785,000.00TSh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…