Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
-
- #2,961
Nina laki tatu hapa mkuu
Samsung ,FM radio, HDMI, USB, watts 300
Price 380,000
Huwezi pata chief kwa bei yako na samsung watts 300 sahivi adim zipo sony njoo tutakuuzia bei nzuri ila 350+Nina laki tatu hapa mkuu
Hii product n mchina au og?RS 218AB Home Theatre Systems – Black
Key Features
Channel: 2.1
Connectivity: Bluetooth
High Quality Balanced Sound output.
With LED Display
Easily compatible with brand USB, Radio, MP3
Power Output: 35W + 12W*2
Price 110,000View attachment 894701
Machina alie elimika chief[emoji1]Hii product n mchina au og?
340 haiendi kabisa mkuu?Huwezi pata chief kwa bei yako na samsung watts 300 sahivi adim zipo sony njoo tutakuuzia bei nzuri ila 350+
Njoo shop ulipie ila umalizie kona hapo340 haiendi kabisa mkuu?
Nimechukua namba yako mkuu, bila shaka weekend utaniona hapo.Njoo shop ulipie ila umalizie kona hapo
Ok karibusana chiefNimechukua namba yako mkuu, bila shaka weekend utaniona hapo.
Nimechukua wiki iliyopita hapo karbu na je go la Simba Kwa 530,000....inawezekana we ni Dalali mkuuNjoo na 620View attachment 908815
[emoji1] [emoji1] chief biashara huria mkuu 530 uwongo ulio pitiliza otherwise sio hiyo unayo dhani chief shukrani kwakutambua mimi dalali[emoji1]Nimechukua wiki iliyopita hapo karbu na je go la Simba Kwa 530,000....inawezekana we ni Dalali mkuu
Nna uhakika nachokiongea mkuu[emoji1] [emoji1] chief biashara huria mkuu 530 uwongo ulio pitiliza otherwise sio hiyo unayo dhani chief shukrani kwakutambua mimi dalali[emoji1]
Mkuu ivi ina Bluetooth hii??Ok karibusana chief
Ndio mana nimeanza na kukuambia biashara huria inawezekana umeipata ila kwa sisi bei hiyo haitulipi japo 620 nibei yakuanzia ila kwa 530 noNna uhakika nachokiongea mkuu