Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
-
- #2,981
Tz 140 hazina Bluetooth chief isipokuwa huwa wqnatumia dongle kwajili ya btMkuu ivi ina Bluetooth hii??
Hii unaweka sehem ya flash itasoma BluetoothMkuu ivi ina Bluetooth hii??
Nimekusoma MkuuHii unaweka sehem ya flash itasoma BluetoothView attachment 909016
Sh ngap hyo?Hii unaweka sehem ya flash itasoma BluetoothView attachment 909016
10000 chiefSh ngap hyo?
Ukiwa na mtazamo hasi chiefnaona unawakaribisha TRA
mwezi ukipita hawajaja kwa VAT Verification, Post Audit, Examination, Vijana waEFD utaniambiaUkiwa na mtazamo hasi chief
Worry outmwezi ukipita hawajaja kwa VAT Verification, Post Audit, Examination, Vijana waEFD utaniambia
Hapana chief ila utakapo hitaji tv ya solar pamoja na radio usisite kututafutaVipi unauza solar ndogo zile zenye taa kadhaa+fan na radio
Radio ya solar kiasi gani na ili nitumie yanibidi niwe na battery ya watt ngapiHapana chief ila utakapo hitaji tv ya solar pamoja na radio usisite kututafuta
Radio yenye ac na dc inaanzia 95 elfu na sabufa zote zina ac na dc kwahiyo unaweza kununua sabufa yeyote ikakufaa kama unatumia solarRadio ya solar kiasi gani na ili nitumie yanibidi niwe na battery ya watt ngapi
Radio yenye ac na dc inaanzia 95 elfu na sabufa zote zina ac na dc kwahiyo unaweza kununua sabufa yeyote ikakufaa kama unatumia solar
Kwa upande wa watt ngapi navyo jua betri lolote la dc au solar yenyewe inauwezo wakuwasha redio ukasikiliza chief
Power mixerMixer KT-602PM 6 Channels Audio Power Mixer
Key Features
Sound Mixer
For Studio
6 Chanel
20 watt
Usb Port
For Portable Speaker
Price 315,000