Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
-
- #3,161
Printer zipo tofauti ndiyo labda wewe ulilenga utofauti upi kwenye ubora au wapi kama kwenye ubora basi hii ndiyo printer bora zaidi karibu karibu sanaMkuu naomba elimu kdg kuhusu hii Printer Epson,huwa zipo aina tofauti au vipi?kwa maana ya Uwezo wake.