Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
-
- #3,681
Ipo hivi kuna brand zina card zao za warranty kama Samsung,LG,Sony, na brand nyingine kubwa zile lazima ujaze warranty card kwa brand za kawaida huwa unaangalia warranty iliyo andikwa kwenye bidhaa husika hizi nyingi huwa za mwaka mmojaHivi naomba kuuliza mkuu wewe kama mfanyabiashara utanipatia jibu sahihi napoomba warranty unaponiambia miaka 2 ili ikamilike inabidi kuna card special uijaze au ni maneno tu na vipi kama maneno matupu huwezi kunikataa baadae mkuu kama mfanyabiashara ni njia inafanya warranty iwe valid.Ahsanteh
Ila naweza pata sehem nyingine?Hatuna Boss
Samahani kwa kuendelea kuongea mada ambayo haihusiani na biashara yako ila kuna siku nishawahi nunua brenda kwa muhinid brand ya nikai nikiangalia kadi ndani ni 2 year warranty ila yeye namuuliza hii kadi si inabidi ijazwe akasema haina haja nikamuuliza sawa warranty mda gani yeye akaniambia miezi 6 ila ndani ya brenda ile kadi imeandikwa miaka 2 sasa sikuelewa hizi biashara zinaendaje na isitoshe warranty ya mdomo maana muuzaji anaweza nipinga kama akiamua unanishauri vipi mkuu katika hili warranty unapewa kwa mdomo na ilw receipt tu ya efd japo hiyo bidhaa haijawahi sumbua ila naona kuna kitu kinakwepa hapa.Ipo hivi kuna brand zina card zao za warranty kama Samsung,LG,Sony, na brand nyingine kubwa zile lazima ujaze warranty card kwa brand za kawaida huwa unaangalia warranty iliyo andikwa kwenye bidhaa husika hizi nyingi huwa za mwaka mmoja
Pia kuna bidhaa hazina warranty kabisa sasa pale ndio inategemea makubaliano yako na alie kuuzia
Makubaliano yenu mkuu ndio kizingatio sahihi kuna warranty card na karatasi ya menu ile uliona ndani ya brenda ni karatas ya menu ilio warranty card inahitaji ditel za mteja na model ya brand unayo nunuaSamahani kwa kuendelea kuongea mada ambayo haihusiani na biashara yako ila kuna siku nishawahi nunua brenda kwa muhinid brand ya nikai nikiangalia kadi ndani ni 2 year warranty ila yeye namuuliza hii kadi si inabidi ijazwe akasema haina haja nikamuuliza sawa warranty mda gani yeye akaniambia miezi 6 ila ndani ya brenda ile kadi imeandikwa miaka 2 sasa sikuelewa hizi biashara zinaendaje na isitoshe warranty ya mdomo maana muuzaji anaweza nipinga kama akiamua unanishauri vipi mkuu katika hili warranty unapewa kwa mdomo na ilw receipt tu ya efd japo hiyo bidhaa haijawahi sumbua ila naona kuna kitu kinakwepa hapa.
Tunat singsung mkuuMkuu unaweza ukawa na presha kuka aina ya nikai ata ya kuweza kupika chakula nusu kilo na pasi aina nikai
Ahsanteh Mkuu.ShukraniMakubaliano yenu mkuu ndio kizingatio sahihi kuna warranty card na karatasi ya menu ile uliona ndani ya brenda ni karatas ya menu ilio warranty card inahitaji ditel za mteja na model ya brand unayo nunua
230Mkuu nitapata kafrij bajet yangu ni 150k kadogo
Nakuja whatsapp
Hii pia nitakutafuta mkuu,. Ngoja mtonyo uingieAluminum Alloy Body Pressure Cooker With Lid Cypc725 Silver/Black 7 literView attachment 1131424
Key Features
- Size 7 liter
- Colour Silver/Black
- Model Number CYPC725
- Material Aluminum
- Price 85,000