Hamko Serious brother3005-dt 2.1 multi-media speaker -ailiang - black/red usb fmView attachment 1170147
Key Features
- LED display
- Size : 8 inch
- Number of Usb : 1
- Number of speakers : 2
- Price 220,000
Maelezo ya kina yana hitajikaHamko Serious brother
Sawa boss naona bei si rafiki Maalim wangu "Bei nafuu"lipia 490,000
Mkuu kwa budget isiyozidi 250k naweza pata flat tv aina gani na inch ngapi(hata km ikiwa chini ya hapo itapendeza)Bei rafiki kabisa na tcl smart zipo aina mbili kuna netiflix na one hundred tupigie au tuma sms kwa maelezo zaidi kama unahitaji
25"Mkuu kwa budget isiyozidi 250k naweza pata flat tv aina gani na inch ngapi(hata km ikiwa chini ya hapo itapendeza)
Bei rafiki kabisa na tcl smart zipo aina mbili kuna netiflix na one hundred tupigie au tuma sms kwa maelezo zaidi kama unahitaji
Ndio mkuu karibu sana kuhusu vifaa vya saluni yakike kwa sasa hatuna majiko na vingine umepata laptop ukija pia utapata karibu1-Duka lenu ndo linatazamana na geti la DDC kuna bango limeandikwa Solstar?
2-Mna Oven inayotumia gesi pa1 plate 4 za gesi au mnalo lenye oven ya gesi na plate 2 za gesi,na ni bei gani
3-Mna laptop used HP Compaq nc6110 hadi nc6400 na ni bei gani..
4-Vifaa vya saluni ya kike kama Steamer,pasi ya nywele na kitana cha nywele bei gani