Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
-
- #4,121
Habari yako mkuu Amani mfaume..
Je unazo solar hapo ofisini kwako nataka unipatie bei ya solar ya Sundar Watt 50
Duh hii si bei ya gari kabisa?! Halafu kuna wale mafala wanaokata grills wanakuja kuichukua kama yao.
Hii ni unaweka barafu au inafanyaje kazi?Evvoli Portable Ac 12000 BTU Cooling & Heating
Price 870,000View attachment 1406956
View attachment 1406955
Hii fridge unaweza kuna option ya kuweza kuzima freezer na kutumia fridge peke yake au ukatumia freezer peke yake bila fridge?Hisense Fridge 271 Litres
Compressor 10 Years warranty
Free fridge guard
Free Delivery DSM
Mikoani Tunatuma
Price 880,000View attachment 1407344View attachment 1407346
Haya majiko ni bei gani?
oHii ni unaweka barafu au inafanyaje kazi?
Hapana Boss halina hiyo optionHii fridge unaweza kuna option ya kuweza kuzima freezer na kutumia fridge peke yake au ukatumia freezer peke yake bila fridge?
Naomba kujua bei ya AC za LG Dual inverter 12000BTU na 18000BTU.
Pia naomba na bei ya hizo BTU kwa Hisense.
Mkuu una jiko lenye plate mbili moja ya Umeme nyingine gesi?