INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Kosa langu ni kumjibu alie uliza au ni lipi? umejibu kama tuna ugomvi binafsi mkuu hiyo china TV smart inayo uzwa 75 elfu ni China ipi?
Unaweza ukafungua duka lako lakuuza bidhaa za bei hiyo kutoka China na ukapata wateja bila kutumia nguvu kubwa uliyo tumia hapa

Nashukuru kwa kupitia uzi wetu nikutakier Ramdhani njema na Mungu akulinde na janga hili la Corona ili China wakianza kuzalisha TV mwezi ujao uwe mwenye Siha na Afya njema utuletee hizo TV za 75 elfu[emoji40]Stay Home Stay Safe
Acha kujikuta unajua sana ..China smart tv 75000

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ahsante Boss ⭐️⭐️⭐️

Kwa AC Bora za uhakika usisite kututafuta 0672852415
 
Boss una Plate 2 za Gesi za Technosonic na Von na ni kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…