INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Hayabagui sufuria kabisa? Maana kuna jamaa huku lake zone aliuziwa 150k halafu akakuta linabagua sufuria, anapata tabu sana!

Hilo ulilo quote linatumia sufuria maalum ila hayo nakwambia yanatumia sufuria yeyote
 
Naomba kujua bei za Subwoofer ulizonazo.
Note; kuanzia za bei ya chini kabisa hadi ya juu, kampuni na ubora wake.
Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…