Nyalikanho
Member
- Sep 17, 2017
- 61
- 30
wadau ivi nikweli asilimia kubwa ya smart tv na deki zetu hizi huwa hazina uwezo wa kusoma flash ya uwezo wa 64gb kwenda juu?
note: flash ambazo ni ORIGINAL.
mana nimetest kuanzia 8gb mpaka 32gb zinasoma ila 64gb ,128gb chenga ila kwenye subwoofer mp3 zinasoma.
mwenye kujua kiundani kuhusu hili wadau?
Hisense normal nch 43 same technology ni bei gan? Pia naeza pata yenye technology ya Qled?TCL Hawana Normal wana Smart Pekee
Hisense Normal Frameless 395,000
LG Normal bei 485,000
Sony Normal bei 490,000
Samsung Normal bei 485,000
Uliadimika mkuu, tupe updates.
Hii unapewa na warranty?? Duka liko wapi??
Mi ningependa kujua bei za lg oled tv kama unazo boss.
Ndio tupo Uhuru na sikukuu jirani na JD Phamarcy pia tuna duka Kariakoo Msimbazi jirani na DDC Social Hall wewe tu ukaribu wako wakufika upo duka lipiHii unapewa na warranty?? Duka liko wapi??
Mkuu mtu unaweka harddisk yenye gb1000 (1TB) kwenye tv inafanya kazi vizuri ije kua flash ya 64 duhwadau ivi nikweli asilimia kubwa ya smart tv na deki zetu hizi huwa hazina uwezo wa kusoma flash ya uwezo wa 64gb kwenda juu?
note: flash ambazo ni ORIGINAL.
mana nimetest kuanzia 8gb mpaka 32gb zinasoma ila 64gb ,128gb chenga ila kwenye subwoofer mp3 zinasoma.
mwenye kujua kiundani kuhusu hili wadau?
ok ila mfumo wa ufanyaji kazi wa HDD ni tofauti na usb flash mkuuMkuu mtu unaweka harddisk yenye gb1000 (1TB) kwenye tv inafanya kazi vizuri ije kua flash ya 64 duh
Mtu wa mkoani aweza ipataje hii???Hisense H220TTS | (Combi) Refrigerator
[emoji384]Price 660,000
Reversible Door Hinges
Tempered Glass Shelves
Fresh-Zone Storage Area
161 Litres
View attachment 1718014View attachment 1718013
Mtu wa mkoani aweza ipataje hii???