Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
[emoji828]️LG TV 55” New Model 2021
[emoji828]️Price 1,950,000
[emoji829]️Frameless
[emoji829]️New Model UP
[emoji829]️View attachment 2014709
Mkuu mnaruhusu kulipa kwa installments...? Na utaratibu upo vipi kiongozi...?
Unaruhusiwa ila unaanza kulipia kwa 40% ya bei na ndani ya miezi miwili
Utaraitibu unafika dukani unahakiki bidhaa yako ndipo unaanza kulipia
Hapo kwenye miezi miwili sijakuelewa mkuu...!
Unalipa ndani ya miezi miwili
Naomba kujua bei ya TCL TV 32" Model S6550
Ooooh owkay nikajua mitatu aisee.
Pia kuna mfumuko mkubwa wa beiSio mbaya tutaangalia karibu japo changamoto ya sasa bidhaa nyingi hazipo sokoni
Pia kuna mfumuko mkubwa wa bei
Pia kuna mfumuko mkubwa wa bei
Sio mbaya tutaangalia karibu japo changamoto ya sasa bidhaa nyingi hazipo sokoni
Sio mbaya tutaangalia karibu japo changamoto ya sasa bidhaa nyingi hazipo sokoni
Na pia inaweza isifike hiyo miezi mitatu coz kuna posho za katikati ya mwezi zikitokea tu tunamalizia kiongozi.
Inch 55 na 60 ulizonazo kwa brand ya TCL na Hisense ni zipi na unauzaje mkuu...?
Hisense bei kubwa sana kwasasa 1,600,000
TCL 1,450,000
Ni kwa Inch 55
43" bei gani?TCL 32” hazipo kabisa sahivi zipo 43 na 55” tu Mkuu
43" bei gani?