Bei yake ngapi kwako? Samahani inawezekana sijaionaKwa bei hy hata china hupati
Ni bidhaa gani mkuu samahaniBei yake ngapi kwako? Samahani inawezekana sijaiona
Hii brand ya korea au south africa?
Samsung inch 32
VGA USB AV2 HDMI
Price 540,000
Zipo za Dubai UK Korea Japan na China zote bei mojaHii brand ya korea au south africa?
Tupia namba basi mkuu tutafutaneZipo za Dubai UK Korea Japan na China zote bei moja
0672852415Tupia namba basi mkuu tutafutane
Flat screen tv inchi 40, pia kama bei zinatofautiana kulingana na kampuniNi bidhaa gani mkuu samahani
Ndio mkuuFlat screen tv inchi 40, pia kama bei zinatofautiana kulingana na kampuni
Kuna kampuni hazitoi nchi 40 na kuna zinatoa nchi 40 utakuta sio smart n za kawaida mfanoFlat screen tv inchi 40, pia kama bei zinatofautiana kulingana na kampuni
Samsung inch 28
VGA USB AV2 HDMI full HD
Price 385,000
Samsung inch 32
VGA USB AV2 HDMI
Price 540,000
TV ouling inch32 double screen ina protecta
VGA USB AV HDMI
Price 420,000 warrant 2yrs