INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Nipe bei ya TV bracket kama hiyo au inaofanana ambayo inazunguka pande zote, size TV ni kuanzia 32inch.
 

Attachments

  • 14747080638951.jpg
    12.6 KB · Views: 78
Mkuu jaribu kuwatembelea startimes wenyew wakupe bei zao wanazo ita za promoshen kama upo sirias leta 370 kesho nikuletee hadi mlangon
Nipo serious
,nimeshawahi kumnunulia mtu pale Msimbaz Kkoo kwenye duka lao, haikuzidi 250
labda bei iwe imepanda recently
 
Nipo serious
,nimeshawahi kumnunulia mtu pale Msimbaz Kkoo kwenye duka lao, haikuzidi 250
labda bei iwe imepanda recently
Du sidhani Labda kajaribu tena hy 250 nakuuzia ouling nch 25 ina screen protector
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…