Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
-
- #641
Zipo unataka touch screen au yakawaida au ile redio ya flash tuRadio za magari huna
0672852415 mawasiliano muhimNtakuja
Touch screen mkuu weka zote nichague
Mkuu una photo printers. Bei na uwezo wake ningependa fahamu
PoaPoa mkuu nitakutafuta mishe zikiwa poa
nitajie bei za ps 3 na ps 4
OK ok nazile woofer za kukaa kwenye buti zenye amplifier humo humousb ,CD player
Price 170,000
OK ok nazile woofer za kukaa kwenye buti zenye amplifier humo humo
Naona sasa Biashara imekolea ...majibu yako wateja yanaanza kunukia Kiburi.We kwa uzowefu wako tu ushawahi kuona home theater Sonny spika kubwa tano inauzwa 7.5
Ilikosewa bei mkuu pia itapungua bei kama unahitaji ila sio kwahiyo bei
Umeninukuu vibaya kwa waliobahatika kunifaham kupitia jamii forum watakushangaa piaNaona sasa Biashara imekolea ...majibu yako wateja yanaanza kunukia Kiburi.
na cd ngap za game napataPs4
Price 1150,000
Ps3
Price
950,000