Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,275
- 1,412
- Thread starter
-
- #1,061
Zipo zile ndogo portableSubwoofer za kucharge zenye blue tooth ni bei gani?
Unahitaji nini mkuuTupe ofa zaidi za mizigo mingine
unaoa ili upate wa kukuoshea Vyombo??!!!!!Wazungu bana hadi machine ya kuoshea vyombo..!!?? Kuna haha ya kuoa kweli..??
Hii blender ni aina gani na kutoka nchi ipi?
Brenda za kisasa
Price 210,000
Kenwood china ila zipo kubwa zake kwa sasa 400,000Hii blender ni aina gani na kutoka nchi ipi?
Kubwa kwa maana ipi? Mult function au?Kenwood china ila zipo kubwa zake kwa sasa 400,000
Kenwood Multi Pro Excel (FP980) Food Processor? (Tazama kwenye you tube)Kubwa kwa maana ipi? Mult function au?
Microwave yenye uwezo wa kuokaUnahitaji nini mkuu
HD dvd playerUnahitaji nini mkuu
Hiyo bei nachukua cable zote hizo?
Vifaa vya HDMI to smart original
Price 32000
Iko LG 150,000HD dvd player
Hili swali hujalijibu mkuuMkuu una DIGITAL AUDIO IN OPTICAL CABLE? Kama zipo ni bei gani? Nina safari ya kuja K/koo masaa machache yajayo nikutafute
Hakuna mkuuHili swali hujalijibu mkuu