Hizi blender zakawaida zile zinachuja sahiv zimekuwa ghali na walizonazo wanauza 400k bora uchukue hizi za kawaida tu bei nafuu na imara piaBasi ukizileta tupia tena kwani sio hizi
Mkuu naulizia cable gani naweza kuunganisha kutoka tv kwenda home theater ili nisikie sauti ya tv kupitia home theater(Sony home theater system)Njoo Msimbazi kariakoo ukifika Azania benk underfloor nipigie utafika bila was
Tumia av waya 2 kwa 1Mkuu naulizia cable gani naweza kuunganisha kutoka tv kwenda home theater ili nisikie sauti ya tv kupitia home theater(Sony home theater system)
Maana yake nataka nitumie speakers za home theater system badala ya speakers za tv hasa ninapokua natazama tv programs.
Nambie kama una cable zozote za kazi hyo.
Cable za kawaida (HDMI na waya za kawaida) haziwi supported.
Tafuta Digital Optical Cables... jamaa niliwahi kumuulizia akasema hana. Ila nadha ukienda game zitakuwepo. Mie najipanga kwenda game. Japo najua bei zao zipo juuMkuu naulizia cable gani naweza kuunganisha kutoka tv kwenda home theater ili nisikie sauti ya tv kupitia home theater(Sony home theater system)
Maana yake nataka nitumie speakers za home theater system badala ya speakers za tv hasa ninapokua natazama tv programs.
Nambie kama una cable zozote za kazi hyo.
Cable za kawaida (HDMI na waya za kawaida) haziwi supported.
Optical cable kuna Jamaa nilimwaguzia hajaja kuichukua na niliilipia kama niww njoo na 40000 ilitoka ZanzibarTafuta Digital Optical Cables... jamaa niliwahi kumuulizia akasema hana. Ila nadha ukienda game zitakuwepo. Mie najipanga kwenda game. Japo najua bei zao zipo juu
85000 boss uletewe wapiBleander ya bei rahisi ngapi?
Hapana bossGenerator maarufu kama invertor generator zinapatikana hapo?View attachment 534845