INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Mkuu Jana nimekuja hapo msimbazi kkoo Amana bank nikapiga namba yako haipatikani.
Leo nikipata Muda takuja tena.
Ila nataka smart TV inch 32 Sony.
Bei gani mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Jana nimekuja hapo msimbazi kkoo Amana bank nikapiga namba yako haipatikani.
Leo nikipata Muda takuja tena.
Ila nataka smart TV inch 32 Sony.
Bei gani mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu labda ulikosea hakuna siku Namba zangu zinakosekana Jana japo nilikua mnazi moja kwenye mambo ya vyuo ila kila alie nipigia alinipata wenye kuchukua bidhaa walichukua mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…