INAUZWA Jipatie bidhaa za Hisense & Samsung brand kwa gharama nafuu

Lusematic

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2017
Posts
12,039
Reaction score
11,822
Habari,
Karibu kwa wasambazaji na wauzaji wakuu wa consumer electonics machine.Karibu dukani uweze kununua bidhaa mpya ikiwemo hisense,LG na samsung,
Jipatie
1.AC-all model
2.TV-all model
3.WASHING MASHINE
4.FRIDGE
5.FREEZER
6.SOUND BAR MUSIC SYSTEM
7.DISH WASHER
8.COOKER
9.COOLER-fridge zavinywaji
10.MICROWAVE
11.DRYER

Kwa Tanzania sisi ndiyo wasambazaji wakuu wa brand za hisense & samsung,all shops hununua hizo brand mbili kwetu kisha kuuza kwa retail customer .

pia unaweza kuweka order ama kutupa tenda endapo ukiwa unajenga jengo lako
kwa mawasilian0692449416
Pia ni free delivery,bei zetu ni rafiki
Ofisi zetu zipo posta samora avenue dar es salaam
Karibu sana ofisini


AINA ZA FRIDGE & FREEZER
CROSS DOOR-hii huwa ina milango minne juu miwili na chini miwili,pia ina water dispenser

FRENCH DOOR-hii huwa ina milango mitatu juu miwili na chini mmoja wakuvuta kama droo,pia ina water dispenser

SIDE BY SIDE-hii huwa ina milango miwili unafungua kwa upande wa kulia na kushoto,kuna yenye water dispenser na ambayo haina water dispenser

CHEST FREEZER-hii huwa inafunguliwa kwa juu,ukienda butcher unaweza kuziona

BOTTOM FREEZER-hii ina mlango mmoja pia ina water dispenser

TOP MOUNT-hii ina mlango miwili ila juu ndiyo unagandisha

SINGLE DOOR-hii ina mlango mmoja



PRICE LIST-more discount available
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2566082
View attachment 2566090

 
Karibu sana 0692449416
 

Attachments

  • IMG_20230213_150320_2.jpg
    21.1 KB · Views: 48
Nipe bei ya jumla ya hisence TV nchi 40 ya kawaida, na hisence nchi 32 ya kawaida na nchi 43 ya smart.
Pia nipe bei ya LG nchi 40 ya kawaida na nchi 43 smart.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…